Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1680847841239.png

1680847888780.png

1680847913011.png

1680847965970.png

1680848033745.png

1680848060575.png

1680848086770.png

1680848242136.png

1680848287762.png

1680848347740.png
 
Tanzania eeh nchi yangu[emoji28][emoji28] yaani madirector wa kipengele cha video Bora ya mwaka hawapo kwenye kipengele cha video director of the year.

Pua......pua....pua
 
Dj bora wa mwaka ni kichekesho cha karne yani mtu aliye mbali na nchi umpe hao DJs kuwa ndio wakali anaweza azimie.

Kigezo ujichague.

Unajichaguaje? Unaingia kwenye mfumo wa siri.

Wanajuaje kama ni wewe ndio uliyejichagua??? 😂😂😂😂
 
Mbona nyimbo za injili hakuna au huo sio muziki??

Enewei namuona Marioo/na Harmonize wakijizolea tuzo kadhaa hapo.

WCB itabebwa na Zuchu tu, Mbosso na ndguye Vanny boi wataangukia pua
 
Ila hii nchi ina safari ndefu mno katika kila jambo. Kila tunachofanya ni mithili ya watoto wa chekechea.

Sasa huu uchafu gani uliowekwa hapo?

Nilichogundua hata uwe na akili kiasi gani, ukiingia serikalini zinayeyuka zote. Mwana FA mbali ya kuwa mwanamuziki na yeye kaafikiana kabisa na huu ujinga kama naibu waziri.
 
Back
Top Bottom