Tanzania eeh nchi yangu[emoji28][emoji28] yaani madirector wa kipengele cha video Bora ya mwaka hawapo kwenye kipengele cha video director of the year.
Ila hii nchi ina safari ndefu mno katika kila jambo. Kila tunachofanya ni mithili ya watoto wa chekechea.
Sasa huu uchafu gani uliowekwa hapo?
Nilichogundua hata uwe na akili kiasi gani, ukiingia serikalini zinayeyuka zote. Mwana FA mbali ya kuwa mwanamuziki na yeye kaafikiana kabisa na huu ujinga kama naibu waziri.