Kutumia maneno kama haya ni uzembe wa viongozi wetu kutumia maneno ya mitaani pasipo mahali pake.
Kwa kiasi kikubwa viongozi wetu wanachangia sana kuharibu kiswahili chetu kwa kutumia maneno yasiyo na maana kama haya. BAKITA nao wapo hoi, hawawezi hata kutoa tamko au kukaripia upotoshwaji wa kiswahili!