Full scholarship za UK wakuu changamkeni.

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Jamani waliokuwa wanatafuta scholarship za masters na PhD sio muda wa kuchelewa ingia www.moe.go.tz na hapo utapata web nyingine ya namna ya application kwa commonwealth's hawa jamaa walichukua chetu wakuu changamka anglau watugawie kidogo.
 
Mbarikiwe zaidi nyote mtakaoapply uenda mkarikomboa taifa hili lilojaa ufisadi naamini ktk mafanikio mtafanikiwa maana kule hakuna longolongo kama una sifa zote hakuna uchawi wala ndumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…