Full Stack Developer Needed

Jozedan56009

Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
34
Reaction score
31
Habari
Naitaji Full Stack Javascript Developer Or ( Front end na back end mkafanya team )

Pamoja Na Mob Developer ( Flutter or React Nqtive Dev )
Call: 0678650509
NB: Lazima muwe based on Dar Es Salaam
 
Mbona Tangazo halijitoshelezi full stack wa Javascript ulisikia wapi? Project yahusu nini? Vyeti muhimu au hata 4m 4 failure ruksa kuomba??
 
Mbona Tangazo halijitoshelezi full stack wa Javascript ulisikia wapi? Project yahusu nini? Vyeti muhimu au hata 4m 4 failure ruksa kuomba??
Nenda Google kachek full stack javascript developer ni nan !! Utapata majibu na kuchujua skills anazotakiwa kuwa nazo... cheti sio muhimu coz unaweza kuwa na cheti lakin uko empty.... apa skills ndio kipaumbele. Project itakuwa discussed after seeing skilled enough to fit in . Ndio maana kuna namba apo
 
Asante kwa Taarifa
 
Ulimwengu wa leo pia umeanza kuamia Remote, watu wako bongo wanafanya kazi silicon valley.
Open up opportunities kwa kila mtu na kama kuna kua na necessity ya physical meeting, mtu anasafiri anakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…