Full Stack Web Development mshahara wake huwa ni shilingi ngapi?

Melxcom991

Senior Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
101
Reaction score
115
I hope mpo poa wakubwa👍.

Nilikuwa nauliza kwa mtu anaejua full stack web development mshahara wake huwa ni shilingi ngapi?

Au akiwa kama freelancer anaingiza amount gani average?
 
I hope mpo poa wakubwa👍.
Nilikuwa na uliza kwa mtu anaejuwa full stack web development mshahara wake huwa ni shilingi ngapi?
Au akiwa kama freelancer anaingiza amount gani average?
Yaani nitafite pesa kwa ugumu, alafu nahapa nisome mambo magumu...☹️
Misiwezi aisee, ebu ngoja waje wakupe muongozo
 
Utalipwa kuanzia M, ila kama unajielewa, kwenye ku bargain mshahara wanaangalia umekujaje, ukienda hujanywa chai imekula kwako
 
Full Stack Web Dev kwa skills zipi?
Kama freelancer inategemea na project ni kubwa kiasi gani.
 
MERN STACK
Kama upo vizuri, tengeneza portfolio kwenye website, tengeneza mifano ya kazi zako na uonyeshe ujuzi wako, jitolee kazi za pesa ndogo kuonyesha skills ulizonazo.

Unajua kwa sababu gani developers wanatengeneza open source projects na apps za bure? kwa sababu inawasaidia wasiongee sana wanapokwenda kuomba kazi n.k utakuta projects nyingi sana huko github zipo free..

Mwisho usianze kwa kutanguliza pesa, onyesha skills, jiunge linkedin na jiunge kwenye freelance sites zipo nyingi sana, elezea skilss zako, ikiwezekana kwa kuanza fanya kazi hata za bure kadhaa au ujira mdogo kutengeneza reputation yako...

Tchaoo..
 
Shukrani kak ntafanyia kazi
 
Back
Top Bottom