Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Hi ni kwa kuajiriwa au Kama freelancer?1.2 mpaka 4 ml
Yaani nitafite pesa kwa ugumu, alafu nahapa nisome mambo magumu...☹️I hope mpo poa wakubwa👍.
Nilikuwa na uliza kwa mtu anaejuwa full stack web development mshahara wake huwa ni shilingi ngapi?
Au akiwa kama freelancer anaingiza amount gani average?
KUajiriwa kwa sababu kuna mengi wewe utakuwa unawapa ujuzi wako watabakia naoHi ni kwa kuajiriwa au Kama freelancer?
Oky shukraniKUajiriwa kwa sababu kuna mengi wewe utakuwa unawapa ujuzi wako watabakia nao
Halafu ngoja nikulizie tena kwa jamaa sasa hiviOky shukrani
Usimsikilize huyu hana anachojua kuhusu hayo anayokushauri.Oky shukrani
Acha uzushi we Unik FlawaHalafu ngoja nikulizie tena kwa jamaa sasa hivi
Asehh! Ko nishingapUsimsikilize huyu hana anachojua kuhusu hayo anayokushauri.
Jata ukimuuliza full stack web development maana yake nini hana anachokujibu
IPo siku yakoAcha uzushi we Unik Flawa
MERN STACKFull Stack Web Dev kwa skills zipi?
Kama freelancer inategemea na project ni kubwa kiasi gani.
Kama upo vizuri, tengeneza portfolio kwenye website, tengeneza mifano ya kazi zako na uonyeshe ujuzi wako, jitolee kazi za pesa ndogo kuonyesha skills ulizonazo.MERN STACK
Shukrani kak ntafanyia kaziKama upo vizuri, tengeneza portfolio kwenye website, tengeneza mifano ya kazi zako na uonyeshe ujuzi wako, jitolee kazi za pesa ndogo kuonyesha skills ulizonazo.
Unajua kwa sababu gani developers wanatengeneza open source projects na apps za bure? kwa sababu inawasaidia wasiongee sana wanapokwenda kuomba kazi n.k utakuta projects nyingi sana huko github zipo free..
Mwisho usianze kwa kutanguliza pesa, onyesha skills, jiunge linkedin na jiunge kwenye freelance sites zipo nyingi sana, elezea skilss zako, ikiwezekana kwa kuanza fanya kazi hata za bure kadhaa au ujira mdogo kutengeneza reputation yako...
Tchaoo..