OGTV
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 353
- 167
Baada ya Team Wema au wafuasi wa Wema au Wema fans kumponda Wema kwa kutomsupport Idris Sultan katika kuwania nafasi ya Kuhost tuzo za MAMA.
Wema akasirika nakuwatukana washabiki wake!
vp unaonaje kuhusu hizi team?, Unamshauri nini Wema?.Vp kuhusu wema kutukana matusi hivi?
Wema akasirika nakuwatukana washabiki wake!
vp unaonaje kuhusu hizi team?, Unamshauri nini Wema?.Vp kuhusu wema kutukana matusi hivi?