Mkuu sema UNGA ukimkolea abwie mara ngapi.Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Keshokutwa Anaomba msamaha...Zile Lipstick Wateja Wake si walikuwa Team Wema
Ila Wema Anastress Milioni Atakuja kubwia Unga Huyu one day..
Umesema!!!?Mkuu sema UNGA ukimkolea abwie mara ngapi.
Tokea aachwe na Diamonds ameshuka chati sasa anatafuta kiki kwa kurusha mimatusi kwa washabiki wake. Labda kishakuwa chizi huyu mweziwe Faiza mimatusi anaona atakuwa celebrity.