FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

Hao wanaougua na kufichwa ni mama wako?Ni baba wako au ukoo wako mzima?

Senti bai yuzingi tecno T301

Hizi ndizo Akili nyingi za Kipumbavu ambazo zimejazana sana ndani ya wana CCM wa Kizazi chako na si kile chetu cha Nyerere.
 
Kukaa ndani case closed

Mnalilia uchumi kwani tukifa uchumi ndo utabaki kileleni?
Mpaka sasa uchumi ushateteleka
Wewe kaa ndani, PERIOD, huenda dua zako zikasikika na kufanikiwa. Ila ujue tu kwamba Tanzania kamwe haitaongozwa na "political entrepreneurs" ambao hujali maslahi binafsi kuliko ya Taifa.
 
..sasa mbona amiri jeshi mkuu katukimbia amejificha?

..tukio hili linanikumbusha Saddam Hussein aliyekimbia toka Baghdad na kwenda kujificha Tikrit.
 
..sasa mbona amiri jeshi mkuu katukimbia amejificha?

..tukio hili linanikumbusha Saddam Hussein aliyekimbia toka Baghdad na kwenda kujificha Tikrit.
Mwanaume amezaliwa kuchukua maamuzi yeye kama yeye mkuu kisha mwanamke hufata maamuzi aliyochukua mwanaume muda huu jiamini mwenyewe..

NB: usisahau kujikinga na covid19-25

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kwenye post yako ya awali ulisema tutapigana mpaka tone la mwisho.

..sasa amiri jeshi mkuu tuliyemuamini atuongoze mbona amesepa?
 
"Katika vitu huwa vinafanya umtambue mtu hekma yake na uelewa wake ni pamoja na mitizamo yake" Nilipoanza kusoma huu uzi nilitegemea nondo za maana ndani yake, lakini nilipoumaliza kuusoma nikagundua kwamba ni udaku na chuki binafsi dhidi ya mbowe. Hapa ndio nazidi kuamini kwamba kuna tofauti kati ya kujua na kuelewa.
 
Wewe kaa ndani, PERIOD, huenda dua zako zikasikika na kufanikiwa. Ila ujue tu kwamba Tanzania kamwe haitaongozwa na "political entrepreneurs" ambao hujali maslahi binafsi kuliko ya Taifa.

Kazi njema
Wacha niingie Netflix
 
Kazi njema
Wacha niingie Netflix
Bora uingie Netflix maana Mh Mbowe anatoa maagizo kwa watu wazima, tena viongozi, ambao wanategemea kuongoza mapambano dhidi ya COVID-19. Tuamini pia amewawekea ulinzi wasikiuke amri yake.
 
Bora uingie Netflix maana Mh Mbowe anatoa maagizo kwa watu wazima, tena viongozi, ambao wanategemea kuongoza mapambano dhidi ya COVID-19. Tuamini pia amewawekea ulinzi wasikiuke amri yake.

Ni jambo zuri sana alilofanya kuwaambia wakae quarantine wabunge wa upinzani
Kwa mwenye akili atamuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…