FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

wa kule kwa 9/11, wakati wa janga lile alifichwa. Pia yawezekana kuna sababu za msingi za kumficha na sio kujificha.
 
Kiufupi hotuba ya Jana ya mbowe ni hotuba bora toka kwa mwanasiasa toka Tanzania ipate uhuru
 
Tofaut na kukaa ndani hakuna kinga nyingine ya corona labda utembee ndani ya puto
Tofauti na kujifungia ni kutoka nje kupambana na adui. Akikufuata huko ndani, kwa njia moja au nyingine, utakimbilia wapi wakati njia zote zzimefungwa? Kinachotokea kwenye nchi ambazo wananchi wamelazimishwa kujifungia ndani, adui anawamaliza bila yeye kuangamia. Mwoga tu ndiye hutafuta jinsi ya kukwepa mapambano.

Vita hii tutashinda TUKIJINGA KUWAKINGA WAPENDWA.
 
Toka lini Tanzania ni masikini?
 
Mbowe nae ashauri mambo ya msingi anajua kabisa Serikali haina pesa halafu kakazania watu wajifungie....
Anajuaje wakati wote tumeambiwa sisi ni matajiri tuna reserve fund ya kutosha kuendesha nchi miezi 6 bila kukusanya chochote


Active Mind
 
Ma-Genius wapo sekta zote. Wengi tu katika siasa wameonesha uwezo wa kipekee. Unyamwezini kulikuwa na mtemi mmoja anaitwa Mwanansali. Ukipata wazee wakakusimulia mambo yake, a true genius. Wapo pia kina Mkwawa, Baba wa Taifa letu, Julias Nyerere, na kwingineko kina George Washington na pia Henry Kissinger. Hiyo ni mifano michache
 
Duuu! Mkuu? Yaani nondo zooote hizi comment yako ya kwanza ni Typos? Kwa Thesis nzito hii???
 

Unavyoongea kanakwamba adui ni mtu [emoji23][emoji23] mpwa unazingua fatilia vizuri upate sababu kwnn vifo vinaendelea na sio kwamba waliojiweka ndani ugonjwa unawafata acheni kujipa moyo sisi tushalikoroga amna budi kulinywa

Hivi rate yetu ya kuongezeka kwa visa vya corona unafananisha tz na kenya?
 
Lock down haijazuiliwa... jiwekee mwenyewe na familia yako..

Serikali haimzuii mtu kujifungia nyumbani kwake..

Usitake kulazimisha unachotaka wewe wote wafanyiwe katika nchi huru..

Jifungie mwenyewe kama unataka lock down
Mkuu kwenye magonjwa ya maambukizi hatari kama Covid 19, huwezi kupambana wewe na familia yako. Toa ushauri wa mbadala wa lockdown ni upi wakati ambapo kasi na vifo vinaongezeka kwa kasi? Mbowe ametoa ya kwake
 
Ni aibu kwa watanzania kuwa wajinga hivyo na kufikiri korona itaisha yenyewe bila mapambano ya kujitenga kama nchi nyingine zenye akili na kuwa na idadi ndogo zaidi ya wagonjwa. Ndiyo maana wakenya wanatuita mambumbumbu, kumbe wanayaona mengi kama haya. Angalia Uganda, wagonjwa wangapi na wangapi wamekufa? Tanzania itateketea na korona sababu za ujinga wetu na wa viongozi.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 100. Acha wanaobwabwaja kwa sababu ya chuki za kiasiasa waendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajifunze kwanza kiswahili urudi. 'miripuko' ni kitu gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm siish kwa kula hela ya mwana siasa na Wala Sina chama na sijawai kupiga Kura Wala kusimama folen kusubir kitakbulisho Cha Kura na hamna kiongozi wa CCM Wala CHADEMA ambae Nina irafiki nae
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…