FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

WATULETE LOCKDOWN LAKINI ISIWE TOTAL LOCKDOWN.....
WATU WAFANYE SHUGULI ZAO KUANZIA ASUBUHI
ILA SAA MOJA KAMILI JIONI KILA MTU NDANI aka
NDEGE TUNDUNI

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ipi imefanya alafu ikavishinda vifo Nan yupo lock down alafu watu hawaf
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachia JF baba la habari ni gazeti gani limetoa habari hii muhimu kwa taifa?

Tuna tatizo.
 
Mimi nadhani MBOWE angeanza na wafuasi wake wa chadema.
Awaamrishe Wote wakae lock down.
Hii itapunguza watu kuzurura zurura.
HAYA WANGAPI MPO TAYARI KUKAA LOCK DOWN MBOWE AKITANGAZA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Fools die for want of wisdom.

So while you talk about me
Someone else is judging you

Amandla......
 
siku sisi sijui wanane

*********
Unaongeleaje kitu ambacho hujui mzee baba/mama

**********
locdown/lockdown

maambukozo/Maambukizi

**********
Nyie ndyo wazazi waliuza ngombe ili kupeleka ngombe shule.

MY TAKE
Hivi moo ni nani hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du hili povu mmmmh!
 
Kaka umeua ,ngoja waje vijakazi.wake kumuhami,
Mwisho kabisa ni pale Marekani alipo lockdown akiwa na wagonjwa elfu na ushee ,na vifo 270,angalia takwimu zake kwa sasa.pamoja na lockdown yake,hivyo haikumsaidia ndio maana kaachana nayo,sass huyu Mangi anataka nchi na uchumi kwa ujumla usambaratike mpuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngombe ndo nini mdau?
 
Si ndo maana ya upinzani hapa tz, serikali ikienda mbele wao wanarudi nyuma.
Hivi muliishafanya tathmini ya kitaalamu kuhusu idadi au % ya mambo ya msingi kwa taifa letu mliyowahi kushauriwa na upinzani na yalikuwa hayana mantiki? Kwa kweli HAKUNA.
Nadhani huo ndio ulitakiwa kuwa msingi wa kujengea hoja badala ya kuwa mabingwa wa kubwabwaja na kutegemea dola kuminya hoja zinazoweza kuja kuokoa taifa letu.
Wa kale walisema ukiwa mkweli na ukawa peke yako ni utakatifu. Lakini ukiwa hauna ukweli na ukawa peke yako ni laana. Na kwa bahati mbaya laana hiyo itakujadhuru hata vizazi vyako. AMEN
 
Kama leo hii nchi ingekuwa locked down naamini mi ccm mngekuwa mnashangilia na kupongeza. Kwasababu nyie huwa mnafuata mkubwa kasema nini, hamzingatii ukweli. Stupid.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi ni hawaelewi hata hiyo lockdown ni nini hasa. Hawajui kuwa kuna essential services bado zitahitajika na zitaendelea kama kawaida ila kwa kuzingatia utaratibu unaopunguza maambukizi au social contacts. Na kufanya lockdown siyo lazima iwe exactly the same kama USA au Italy.

Tatizo letu hakuna measures za maana zimechukuliwa zaidi ya kupunguza misongamano, kuvaa Barakoa na kuosha mikono. Mpaka sasa social distancing hawajaipa kipaumbele sana na ndiyo maana mpaka sasa bar bado zinafanya biashara kama kawaida. Yaani watu wenyewe ndiyo ameamua kupractice social distancing na siyo serikali inawataka wafanye hivyo.

Kwa hali yetu ilivyo ambapo watu wananawa na maji yanatiririka chini kuna kila uwezekano kwamba Virus wanakuwa chini ambampo watu baadaye wanawakanyaka na kuwabeba kwenda majumbani mwao. Hivyo hizo sehemu za kuosha mikono inawezekana kabisa zikawa ndiyo sources of contamination (Hayo ni mawazo yangu binafsi).

Tanzania kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni kuzuia kabisa social gathering zote pamoja na makanisa na misikiti, kuzuia social interteiment zote pamoja na michezo na sehemu za starehe kama vile bar, casinos n.k. na kufanya partial lock down kwa kuzuia movement between the regions au wilaya.
 
Yaani Mzee mbowe Jana aliongea kwa uchungu kama serikali ni ya chadema.wacha washupaze shingo maana hali ilioofikia now sidhani kama tuna uwezo wa kupambana Nayo tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endekezeni ubishi tu soon gamba jingine lita dondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubali kabisa.mbowe si sawa na wanasiasa uchwara walioko madarakani..ana karama ya uongozi.natural born leader

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…