FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Kutokana na ripoti hii ya Mhe. Mpina Mhe. Bashe should be out of the office immediately. Mfanyabiashara wa stationery anapewa kibali. Kampuni toka Zanzibar inajisajili na Brela baada ya mwezi inapewa kibali. No No this is too much.
Kama habari za richmond tu
 
Huyu jamaa ni mwizi sana hata zile za kukusanya vijana kwa ajli ya kilimo hakuna kitu.
Bashe ni wa kukamatwa akapigwa risasi adharani akishuhudiwa na waujumu wenzie akina Makamba na Mwigulu bila kumsahau Nape...
Hii nchi bila JWTZ kuingilia kati bora tu Mungu atushushie Maradhi ya kuwaua viongozi wote wezi.
 
hii kiboko, dawa ya panya imeanza kuua mmoja mmoja, wapo busy kula kwa urefu wa kamba zao sasa
 
Mkuu wakuirudisha Nchi kwenye msitari ni Wananchi ila sio bora wananchi.
 
Wale wasiompenda Luhaga Mpina wanaumia sana sasa hivi. zitto junior Umeuona ushahidi wa Luhaga Mpina?
Usije pitwa baadaye tukaanza kulumbana kaka, pitia hapa.
 
Kwa habari hiyo kama ni ya Ukweli basi Waziri wa kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe Ajiuzulu hafai kuwa Waziri. Amesababisha bei ya Sukari kupanda sana Hafai kuongoza Wizara ya kilimo.
 
Kumbe upigaji bado upo😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…