Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Weekend ndo nimeimalizia hvi na gemu ya ugenini. First half moja moja second half mbili moja gemu ilikuwa ya kawaida ila ya kuvutia.
Wakulungwa inashangaza sna kusikia Kuna watu wanaleft mashindano maana c kwa utamu huu
Wakulungwa inashangaza sna kusikia Kuna watu wanaleft mashindano maana c kwa utamu huu