Full Time: 4 Yanga Vs 0 Njombe Mji uwanja wa Uhuru Dar, Ligi kuu Tanzania bara

Hivi kwanini wasichana na wanawake warembo wanapenda kushabikia matimu mabovu kama Yanga?

Kumbe Yanga kuna wasichana warembo kuliko kule kwa wanamikia???!!! Aisee, Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…