Ukiwaga na akili zako huwa unaongea tuvitu tuzuri.... Kosa sasa usemwe na litimu lako la upako MWAMPOSA ...hujitambuagi kabisa puree😌😃😃🚶🚶Mpira wa waarabu hauno mvuto,Al Ahly south africa walipoteza mda mpaka npira unaboa,now they are out,waarabu washenzi sana
Waarabu wanacheza kombe la waafrika?Final iwe ya wa SA kombe libaki huku afrika sio Kila siku uarabuni
Chuki kwa Mnyama zitakuuwaPyramid na Berkane ndio mabingwa
Mkuu nilikuwa sijui kumbe Sheria ya goli la ugenini bado ipoLeo ikiwa 1-1 means Mamelodi wanafuzu kwa goli la ugenini
Kampenyeze tuone huo urahisi wakeNi rahisi sana ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Orlando kufika fainali
HalijiMoja linakuja Tanzania
Story kama hizi utazikuta Vingunguti. Unafikiri CAF ni show ya mtu mmoja kwamba leo umeamka tu Esperance wapigwe faini? Kwanini Wabongo mnapenda kulishana Matangopori hivi?Tambua Rais wa caf ndie mwenye Mamelodi.
Hivyo anaweka muda ambao unawa favour mamelodi.
Ukitaka timu yako isicheze mida mibovu na wewe kawe rais wa caf
NAunga mkono hoja mkuuStory kama hizi utazikuta Vingunguti. Unafikiri CAF ni show ya mtu mmoja kwamba leo umeamka tu Esperance wapigwe faini? Kwanini Wabongo mnapenda kulishana Matangopori hivi?
Hii KIHASIBU imekaaje?Hilo goli la ugenini utakaa hapo unalisubiri hutaamini mpaka mpira unaisha hutaliona [emoji23][emoji23]
Mayele. 1-1 hapa mkuuPyramid nao kimewalamba
Lakini bado wako hatariniMayele. 1-1 hapa mkuu
Pyramid wanapita subiri second halfPyramid hii ambayo naitazama live muda huu ambayo muda wote wanashambuliwa na wanautafuta mpira kwa tochi mchana kweupe au wewe unaitazama Pyramid nyingine?
Hii fainali inachezwa na timu zote kutoka South Africa. Labda hii Pyramid ibahatishe counter attack halafu walinde kagoli kao ndiyo wanaweza kujikongoja kufika fainali.
Hapa pirates anataka draw tu, pyramids onabidi ashinde --- boli litembee tuLakini bado wako hatarini
Kwa hiyo nisiongee ukweli kwa kuwa yupo simba?Chuki kwa Mnyama zitakuuwa
Ok!!! Jiandae kuhamisha goli na kuishangilia BerkaneKwa hiyo nisiongee ukweli kwa kuwa yupo simba?
Simba anashenyentwa jumapili
Period!!!
Niishangilie Berkane kwa lipi.Hiyo mechi yao na Stellenbosch mimi hainihusuOk!!! Jiandae kuhamisha goli na kuishangilia Berkane
Halitoshi1:1 Mayele kasawazisha
Sasa uliuliza wakati unajua kolo wewe?Leo ikiwa 1-1 means Mamelodi wanafuzu kwa goli la ugenini