G
Si mliingia nyie Mbumbumbu FC? Mbona sasa mpo kwenye kombe la VICOBA? Si mngechukua ubingwa wa Afrika?😁😁😁Kocha wa mamelod mpuuzi,unamtoa Ribeiro kwasababu gani wakati anawakimbiza sana mashindano ya Africa ya hovyo,kila mwaka mshindi ni yuleyule huh! Sasa kina haja gani ya mashindano?
Duh!Leo ikiwa 1-1 means Mamelodi wanafuzu kwa goli la ugenini
Hawa style yao ni kuscore easy goal, yaani hawa wanataka kupasia mpaka nyavu wakiwa kwenye boksi.Mamelodi hawana mafoward wenye maamuzi,wanapaka tu rangi
Safi sanaDaah kk za jioooooooooooooniiiiiii Mamelod wanapata goli.
Al Ahly hapa lazima watafunguka.Naona dk hizi wamechangamka.Sasa tuone mpira, nadhani ile kupaki bus itakuwa imeishia hapo