Full time at national stadium

Full time at national stadium

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
FB_IMG_1539705200823.jpg
 
Bado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli
Mbona Goli Ni kubwa Sana inakuwaje mtu anapiga nje. Au aaa ya kupiga anakaona kagoli kadoooogoo. Au inakuwaje huwa wanahamisha labda
 
Hongera kwa timu ya taifa angalau leo wametutoa aibu! Shida hii timu haieleweki inashinda mchezo 1 afu inafungwa 5! Tuombe isiwe hivyo tena! Lazima tufuzu this time......
 
Back
Top Bottom