Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Bado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli
Tatizo kubwa lipo kwenye ulinzi piaBado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli
Mbona Goli Ni kubwa Sana inakuwaje mtu anapiga nje. Au aaa ya kupiga anakaona kagoli kadoooogoo. Au inakuwaje huwa wanahamisha labdaBado tuna tatizo la shabaha ya kufunga magoli
Tusibweteke sana kama tulivyobweteka kumfunga Cape Verde kwao.kazi ilobaki ni kumchinja Lesotto kwao,
Uganda anaongoza 2_0 Htkazi ilobaki ni kumchinja Lesotto kwao,