The Supreme Conqueror JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 609 Reaction score 1,584 Sep 28, 2025 #1 Wakuu jambo lipo live nina imani Ibenge anaenda kuipa heshima kubwa Azam Fc kimataifa msimu huu nawaona robo fainali kwa mara ya kwanza.
Wakuu jambo lipo live nina imani Ibenge anaenda kuipa heshima kubwa Azam Fc kimataifa msimu huu nawaona robo fainali kwa mara ya kwanza.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 Sep 28, 2025 #2 Hongera kwao
The Supreme Conqueror JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 609 Reaction score 1,584 Sep 28, 2025 Thread starter #3 Laiti,Kiukweli kama ningalipewa nafasi ya kushauri namba ya kuishinda hofu ya Yanga na Simba,wajibu wa mambo gani ya kuboresha msimu huu Azam ingefika mbali sanaaaa. I HAVE A DREAM.
Laiti,Kiukweli kama ningalipewa nafasi ya kushauri namba ya kuishinda hofu ya Yanga na Simba,wajibu wa mambo gani ya kuboresha msimu huu Azam ingefika mbali sanaaaa. I HAVE A DREAM.