Daaah kazi kweli kweliMtanange uko live
Mamelodi wanaongoza 1-0.
Kipindi Cha pili kinataka kuanza VAR haifanyi kazi.
Refa anasema tukipige bila VAR, Mamelodi wanasema sawa, ila AS FAR RABAT wanasema hapana. VAR itengenezwe kwanza.
Mechi imesimama mafundi wanashughulikia VAR.
AFRICA KIVYETU VYETU
Sijui kwa nini CAF wanapenda kupanga pambano la marudiano lazima lifanyike kwenye nchi ya kiarabu pale fainali ya mashindano ya vilabu Afrika inapofanyika huku fainali ikikutanisha timu ya kiarabu dhidi ya nyingine kutoka kusini mwa jangwa la Sahara.
Lakini kwa mechi ya jana Mamelodi itabidi wajilaumu wenyewe kwa kukosa nafasi kadhaa za wazi nafasi ambazo kwa waarabu wakizipata huko Morocco itakua ni kilio kwa Mamelodi Sundowns.
Kwanini final ichezwe mara 2,Africa hovyo kabisa
Ki vipi..!nyie jamaa bana, waafrica muna shida sana
Ki vipi..!
Kama ulivyo wewe zaidi!ni kweli Africa ni ovyo, nawewe ndio mfano hai
Ukiangalia jumla ya mashabiki katika mechi ile utakuta 98% ni fans wa bafana ba style sasa CAF hueka fainali mbili kwa huku Afrika kwa kua mashabiki wa kiafrika bado hawawezi kusafiri weengii kwenda nchi nyengine sasa ndo mana wanaweka ivo ili kubalanceKwanini final ichezwe mara 2,Africa hovyo kabisa
Ukiangalia jumla ya mashabiki katika mechi ile utakuta 98% ni fans wa bafana ba style sasa CAF hueka fainali mbili kwa huku Afrika kwa kua mashabiki wa kiafrika bado hawawezi kusafiri weengii kwenda nchi nyengine sasa ndo mana wanaweka ivo ili kubalance
Mfano fainali ingeletwa kwa mkapa mashabiki wengi wa timu hizo wasingeweza kuja kuisapoti timu yao