FULL TIME: Chelsea 0-1 Manchester City | FA Cup Final | Wembley Stadium | 16 May 2026!

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Chelsea ya Roman Abramovich na hii takataka ya waigizaji wa Holywood kutoka Marekani.
 
Ila huyu refa πŸ˜”

Anyway, goli tamu sana hili πŸ™Œ
 
Aya City hongereni kwa kua Mabingwa.
 
Ifike wakati sasa gadiola sijuw nani huyu kocha man city afukuzwe England (mark kwanza hapo nilie kidogo)

Maana uwepo wake tunaoumia ni sisi mashabiki wa timu zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…