Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1.
Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC. Goli la KMC limefungwa na Ibrahim Elias…. Dakika 32, goli la Coasta Union limefungwa na Maabad Maulid dakika 85 kwa mkwaju wa penati.