Full Time | KMC FC 1 - 1 | Coastal Union| Ligi Kuu NBC| KMC Complex|29 Agosti, 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755

KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1.

Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC. Goli la KMC limefungwa na Ibrahim Elias…. Dakika 32, goli la Coasta Union limefungwa na Maabad Maulid dakika 85 kwa mkwaju wa penati.

 
Turushie na Ya Namungo vs Fountain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…