Hauna kazi za kufanya?Ahsante GSM
Chuma 3 huko wana Yanga 😀Wanayanga wamepoa sana leo kama Manchester United.
Yanga A vs Yanga BUzi wa mpira umepoa namna hii? Na mnaongoza?
Unajua wachezaji nao wamefunga mkuu.Wachezaji wa Yanga wamepoteza ule mchezo wao wa kasi na pasi zenye macho, ni kama wamechoka sana.
Kocha kaishiwa mbinu, benchi lina kikosi kikubwa
kesho nawewe fungua wakwako tuone...Uzi wa mpira umepoa namna hii? Na mnaongoza?
Usinipangie...kesho nawewe fungua wakwako tuone...
ndo nakupangia sasa...Usinipangie...