Kauza match ndio maana wamemtoa kenge huyuMetacha Mnata msengerema sana
Wewe ungefanyaje?Huyu jamaa metacha ni mjinga sana
Metacha Mnata msengerema sana
Kauza match ndio maana wamemtoa kenge huyu
Huyu jamaa metacha ni mjinga sana
Tujitahidi kuwa wavumilivu. Hata sisi kwenye mechi iliyopita tulivumilia baada ya Mwamnyeto pamoja na golikipa wake namba 2 Hussein Masalanga waliwazawadia Dodoma Jiji magoli 2 ya kizembe kabisa! Tuamini basi na wenyewe waliuza ile mechi.This a sale wirhout consideration