Full Time: NBC Premier League: Young Africans 3-0 Singida Big Stars 🌟: KMC Complex

Hizo points 2 anazo ongoza Yanga hapo kileleni kapewa na Simba so tusiwalaumu Singida kama tungekua serious tungemfunga sisi
 
Hizo points 2 anazo ongoza Yanga hapo kileleni kapewa na Simba so tusiwalaumu Singida kama tungekua serious tungemfunga sisi
Una uhakika hatukumfunga? Wamepewa na Simba au Refa kule Zanzibar? Wamepewa na Simba au Refa aloyechezesha mechi yao na KMC?
 
Wanaotegemea Singida BS wataleta upinzani wa dhati kwa Yanga watakuwa ni wageni kwenye soka la bongo.
Ni kama tu ilivyokuwa jana kati ya simba na Coastal union! Hakuna jipya. Hadi jezi, mmoja alivaa nyekundu na mwingine akavaa nyeupe na nyekundu.
 
Una uhakika hatukumfunga? Wamepewa na Simba au Refa kule Zanzibar? Wamepewa na Simba au Refa aloyechezesha mechi yao na KMC?
Kwa hiyo hamkutoa sare na Yanga kwenye mechi zote mbili!
 
Wananchi ni wataalamu wa kujitekenya na kucheka wenyewe!
Mwanzoni nilipokua nikisoma na kuisikia kua kule Madimbwini wenye akili ni wawili tu niliona kama ni utani ,lkn Kwa kuangalia mechi ya Yanga na SBS nimejiridhisha kabisa kua yangu vichwani ni empty set,yaani sifuri,na sifuri maana yake hamna kitu.
 
Uliangalia mechi ya Simba na Coastal au ulisimuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…