Chuma ya 6 huko lakini scoreboard inasoma 2
Mimi naangaliaga sana highlights zao. Wanatandaza soka safi sana kina CorazoneWameupiga mwingiii
Changamoto TZ ligi ya kina dada hatuipi kipaumbeleee
Ni 5 kwa 0Mbona matokeo ya hii mechi yanachanganya, ni 5 au 6?
Kuna mtu kapost goli 6 na wafungaji kabisa sasa sijui alikuwa anaripoti game ipi.Ni 5 kwa 0
Peleka wivu zako huko mpwayugu weweKila la kheri kolo queens mrudi na ushindi kama kawaida
Atakua alinogewaKuna mtu kapost goli 6 na wafungaji kabisa sasa sijui alikuwa anaripoti game ipi.