Imebadilishwa kidogo jaribu FAWANEWS.SCKitu gani kimewapata Fawanews?
Nani anaweza kua mjanja zaidi kwenye Jukwaa hili la michezo atupe site mbadala ya kufuatilia hii mbungi ukiacha Azam Max?
Nimefanikiwa mkuu,ubarikiwe.Imebadilishwa kidogo jaribu FAWANEWS.SC
Share link tafadhaliNimefanikiwa mkuu,ubarikiwe.
Share link kakaNimefanikiwa mkuu,ubarikiwe.
Au sioAll the Best Kagera
Fawanews.SC mbona alikua clear mtaalam wangu aisee.Share link kaka
Hii Kagera ya sasa ni ya GSM.. itakuwa wameahidiwa vinonoI wish ingekuwa ni ile Kagera sugar ya zamani, na ambayo ina uhakika wa kusalia kwenye ligi! Bahati mbaya hii Kagera sugar ya sasa tayari imeshuka daraja, lakini pia ipo chini ya Juma Kaseja.
Unataka kusemajeI wish ingekuwa ni ile Kagera sugar ya zamani, na ambayo ina uhakika wa kusalia kwenye ligi! Bahati mbaya hii Kagera sugar ya sasa tayari imeshuka daraja, lakini pia ipo chini ya Juma Kaseja.
Share link kaka
Mukwala.Nani mfungaji