Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
AsanteLeo ntakuwa bize hapa uwanjani hivyo naamini utatuwakilisha vyema hapa jukwaani
usichekelee, mistakes hizi unaziona ni kwaababu inacheza na timu kubwa, lakini ingecheza na yanga saizi lawama zingekua kwa nabi au tffππππ
Middle wenyewe mmeuza mtapanga nini.?Kocha awe anafanya maamuzi ya haraka forward na medified zimepwawa.Wanatesa Mabeki na kipa.
vipi matokeo ya Yanga πππππMiddle wenyewe mmeuza mtapanga nini.?
Muingizeni yule tumbo kubwa.
Unaulizia yale ya kwa mkapa au haya?vipi matokeo ya Yanga πππππ
mechi bado tulia mpka filimbi itakapopulizwavipi matokeo ya Yanga πππππ
mechi bado tulia mpka filimbi itakapopulizwa
Tulia wewe. Mbona nyie mmekufa hukoLeo hamtoki aisee