Full Time: Singida FC 0 Vs Yanga SC 0, Namfua Stadium

Kesho mnyama afanyekweli,sio tunawabana yanga kisha wao wafungwe.
 
Tambwe hakuwepo naweka mambo sawa.
 
Ungesubiri mvuke mto kesho ndiyo ndiyo uanze kuongea.
Waamuzi watafuata sheria 17 za football bila kujali kelele za Haji.
Ikibidi mtangulize rufaa FIFA maana mnafia Sokoine Stadium.

Kwahiyo Kwa mujibu Wa Watafsiri Sheria Wa Kitanzania Beki Kunawa Mpira Ndani Ya Penalty Box bila Ya Kuadhibiwa ni Miongoni Mwa Sheria 17 za Soka?
Manake Hicho Ndiyo Alichokizungumzia Manara!!
 
Mwaka Jana mikia mlitangulia pointi 8 lakini tulitwaa ubingwa na mwaka huu hadi sana tunalingana pointi mnategemea nini mikia?

Wewe endelea Kukariri Matukio!!! Jana Ulikula Pilau na Leo tegemea Kushiba Pilau Kwa Harufu Ya Jana..
 
Kwahiyo Kwa mujibu Wa Watafsiri Sheria Wa Kitanzania Beki Kunawa Mpira Ndani Ya Penalty Box bila Ya Kuadhibiwa ni Miongoni Mwa Sheria 17 za Soka?
Manake Hicho Ndiyo Alichokizungumzia Manara!!
Simba si ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho kuwa victim wa mapungufu ya waamuzi. Team nyingine, wamekuwa victims na wanasonga mbele. Tofauti ni kelele tu.
 
Pambana na hali yako wewe. Tambwe alikuwepo?
 
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Singida United na mabingwa wa kihistoria klabu ya Yanga umemalizika katika Uwanja wa Namfua kwa timu hizo kutoka sare ya bila kufungana.

Katika mchezo huo uligubikwa na utata dakika ya 54 ya kipindi cha pili baada ya mchezaji wa Singida United, Salum Kipaga kupiga mpira kwa kichwa na kuonekana kuingia ndani ya nyavu za Yanga huku muamuzi kuamuru sio bao kufuatia kuonekana kuwa wavuwake umechanika na mpira huo ulipita nje kabla ya kuingia ndani ya goli.

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Nini Maoni Yako Mwana Jamvi
 
Ungesubiri mvuke mto kesho ndiyo ndiyo uanze kuongea.
Waamuzi watafuata sheria 17 za football bila kujali kelele za Haji.
Ikibidi mtangulize rufaa FIFA maana mnafia Sokoine Stadium.
Mbeya city nyanya tuu wale
 
Sasa hapo kazi ya wavu ni nini si wangeitoa tu kama haisaidii chochote

Yaani ligi kuu wamefulia hadi wanaokoteza nyavu zilizochanika
 
Huo uwanja ulikuwa unasifiwa wiki nzima kuwa umefanyiwa ukarabati mkubwa. Ukarabati gani wanashindwa kununua hata nyavu? Ligi ya nchi hii ni KITUKO
 
Simba si ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho kuwa victim wa mapungufu ya waamuzi. Team nyingine, wamekuwa victims na wanasonga mbele. Tofauti ni kelele tu.

You Didn't Answer My Question!
Have a Good Day..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…