Full Time: Tanzania 0 - 1 Sierra Lione | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 03 May2025

Wachezaji wetu wana papara sana, wanapoteza mipira kizembe sana.. wazito kuitafuta..
 
Filimbi kupigwa tu wachezaji wa Tanzania wanapiga magoti na kusali.... 🙄🙄🙄🙄
 
Ball Possession Tanzania 38 SLE 62
 
Si nimeona km tuna point 1 au
Ilikua kabla hatujafungwa ila sasa tushafungwa so hatuna. Mechi ya kwanza tulicheza na SA tukala kimoja sasa leo ya pili tunacheza na SLE tushafungwa hadi sasa kwahiyo ikiisha hivi hivi tunalala 0.
 
We are BACK 2nd half
 
Kuna mwamba SLE anacheza na bagalashia
 
Dakika ya 50 bado matokeo Sierra Lione 1 Tanzania 0
 
The Captain Lawi HANA MIAKA 20
 
Reactions: K11
Madogo wanacheza kistaa sana. Ova tunaongoza group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…