Full Time: Tanzania 0 - 1 Sierra Lione | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 03 May2025

Kuna mchezaji wa Tanzania anajifanya kaumia hapa anazingua sana... Katolewa nje kwa matibabu so tupo 1 man down
 
Me ata sielewi mchezo gani tuko tunaweza aisee... dakika ya 88 sioni mkakati wowote wa goli hapa
 
hapa chuma ya pili tumekoswa koswa aisee
 
wameongeza dakika 4 aisee
 
hatuna bahati kabisa sisi
 
tunachezesha over age ila bado tunapigwa
 
Kona kuja kwetu hapa
 
Sie tuendelee na story za Manara tu aisee
 
Sisi wa kufa tu, mechi mbili tumepoteza zote kwa goli 1
 
Tanzania - 0

Sierra Lione - 1
 
MOM ni Kamara kutoka SLE
 
Tujaribishe shughuli nyingine, mpira wa kimataifa hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…