Full Time: Tanzania 0 - 1 Sierra Lione | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 03 May2025

Vipaji vipo ila poor scouting
Kwani huko kwengine hamna vipaji?
Sie tunafanya maamuzi kwa maslahi binafsi na sio ya taasisi.

Alisema beni macarthy, safa walikuwa wanataka yeye ajilipie ticket ya ndege kisa tuu jamaa anacheza ulaya. Yote hiyo ni ili mtu ale hiyo hela. Alafu wasipo perform kwenye afcon tunalalamika oh wachezaji wa africa hawajitumi wakiwa na timu za taifa ila wakiwa ulaya wanapiga boli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…