Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Iliyocheza Jana ni Taifa Stars, ya Leo ni Tanzania StarsHivi hii ikoje team imecheza Jana mechi ngumu kabisa na Leo tena inacheza hivi wameshindwa kabisa kusema HATUCHEZI!?
Haya ila wazingatie afya za wachezaji Fei hadi game imemzidi katokaIliyocheza Jana ni Taifa Stars, ya Leo ni Tanzania Stars
Group C – Toyota Stadium
Dakika 56'
Tanzania 0 - 1 Madagascar
Hii timu ifungwe mengimengiMpaka sasa Tanzania 0 na Madagascar 1
Kama Madagascar watatulia wana nafasi ya kuongeza tena goli. Tuendelee kuombeana.