Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Timu ya wabunge na watumishi wa bunge ambao ni mashabiki wa Yanga wameibuka kidedea mbele ya watani zao wa jadi katika Bunge Bonanza lililofanyika Dodoma. Dakika 90 za mchezo zilimalizika kwa sare ya 1-1 ambapo hatua ya matuta iliamua mshindi kwa Yanga kushinda 4-3.
Mdhamini mkuu wa Bunge Bonanza mwaka huu ni Benki ya @azania.bank #BungeBonanza2024
Source: Cloudsmedia
Taabu ipo pale pale ....huku 5G ....kule kichapo ... wanasimba tumlete tu Manzoki.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app