Full Time Yanga 1 - Mc alg. 0

Safi sana ila kikubwa wakaze zaidi watakapo enda kwao
 
Hongereni Yanga! Ila kwa fitna za waarabu matokeo B yanaweza kumaliza furaha yote ya leo.
 
Nadhani mwaka ambao Yanga itaweza kuwatoa waarabu,itabidi ifanyike sherehe ya nguvu,ngoja tuone marudiano.
 
Wakiitoa hii timu ya waarabu wanakutana na LIBOLO ya msumbiji.

Najua mnajua nini kinafuata.

Kuliko kupigwa libolo si bora tutolewe na warabu??!
Khakha mambo yameisha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakiitoa hii timu ya waarabu wanakutana na LIBOLO ya msumbiji.

Najua mnajua nini kinafuata.

Kuliko kupigwa libolo si bora tutolewe na warabu??!
Khakha mambo yameisha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ni ya Angola mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…