Umempig mkeo?😂😂Goaal
Kwani alikuwepo uwanjani?!Anatetemeka miguu, shida ni nini? Apigwe bench kwa muda kwanza
Mda mwingi anafanya kazi isioonekanaSiku aucho akitoka yanga itatuchukua muda kumpata meingine kama yeye
Kaangalie vizur tenaRefa kapeta na Penat hapa.
Mtamkataa sasa hiviMzize mambo gani haya ya kiboya hivi aisee. Yanga wanatakiwa kupata utulivu hii game ni yao.