Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Jepesi ila muhimu 😂Azizi k anafunga goli jepesi sana.
Goaali.
Mimi nitamsamehe dk ya 90 yukishabeba points zote 3Msenge huyu asingefunga goli ningemchinja Pasaka
Aziz ki nilijua atakosa atiMimi nitamsamehe dk ya 90 yukishabeba points zote 3
Nifikishieni hii kero DSTVCommentator wa Kiswahili wa DSTV wanakula mshahara wa bure tu wanaongea sana. Kisha tukio likitokea mfano goli likifungwa wanachukua sekunde kadhaa kutangaza. Kwanini wasiwachukue wale wa Azam??