VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Dont Wash Your Dirty Laundry in Public..
Mke kapata faida gani kuutangazia umma?,
alichofanya kaleta aibu kwa mumuwe na familia nzima (au ndio yale ya kukata tawi huku umelikalia?)
The main culprit ni mwanaume, where is he?
Waandishi hawajawa proffessional, harassment kwa mkosaji, they are just after news by any means necessary
Mkosaji kazaa na Mwanaume..., doesnt she deserve any sympathy?
😛ray2:😛ray2: Naomba Mungu aniepushe nisije kutana na mdada kama huyu.....,
Well, hakuna kitu kibaya kama kumfumania mpenzi wako, tena nyumbani kwako na hasa kitandani kwako.
Huyu mke kamkomesha mgoni wake au mumewe?
Likikutokea, utafanyaje. Assume nafasi yeyote kati ya hawa watatu.
Mie naona mke kacheza game zuri maana angepiga kelele alipomuona binti asingejua hayo yote kuwa pia mumewe kazaa nae na pia wakwe zake wote wanajua na wanalea mtoto. Amewaonyesha kuwa atawakomesha wakimwingilia au kutaka kumfukuza kwa mumewe mwarabu wake ma kiss kiss
Mi wameniboa sana,unaacha mumeo mzinzi una deal na mwanamke ambaye hujui hata mumeo alimdanganya nini hadi kuja hapo kwako......
Nafikiri wangekuiga wewe......lol :laugh::laugh:
Maisha ya binadamu hayawezi kuwa safi siku zote na ikitokea hivyo basi ujue uko kwa Muumba wako. Hapo kama mm sifanyi kitu naiachia nature. This is what makes life life. Endeleeni kufumaniana na mutuwekee kwenye net tufurahi.