duh kaka ukiweka hidden camera kinachofuata ni kiapo kuwa huwezi kuoa tena, ya nn ujitafutie presha unaweza kuyaona mengi kuliko hayo unayoyategemea, uchelewi kukuta mganga wa kienyeji kaingizwa master bedroom wanakiroga kitanda ili uwe zuzu au unakuta mkeo anasagwa na wanawake wenzio unaweza kudata bure. Ni bora uishi tu bila kujichanganya kichwa mtu wangutuwasilianeni jamani mimi nauza hiden kamera its not a jok e guys
Pearl, nikuona sina raha eeenhe naumie na mawazoooooo, kama unipendi au unanipende iweje unanizinguaaaaaaaaaaa.......i like tha songgari,pesa sina ndo nama nakuita mchumba,we wa gari na nyumba ama pesa ndo ................,mapezni si gari ,nyumba etc small small things bana
Sasa sisi tufenyeje?
Pearl, nikuona sina raha eeenhe naumie na mawazoooooo, kama unipendi au unanipende iweje unanizinguaaaaaaaaaaa.......i like tha song
hapa nikitaja mtaa tu nitaharibu ila ni mjini humuhumu na ni ya kweli
mtasaidiwa sana tu endeleeni kupiga nusu dakika,:smile-big:
mambo shosti?,
hebu njoo kwenye messenger bana!
kweli mapenzi ni kizunguzungu wengine wanapenda mtu kwa sababu ya pesa (most of them) wengine ndio hivyo anataka kupigwa na rungu raundi tano kwa siku, wengine wanataka kila mwaka wazalishwe kweli mapenzi kizunguzungusame here,yap so jamaa asidhani kwa kuoa,kununua gari etc ndo mapenzi hapana si hivyo,kwani umesahau story ya princess Diana?mbn aliacha mijihela yooote ya ufalmeni?