Fumanizi la hatari ni lipi kati ya haya?

Fumanizi la hatari ni lipi kati ya haya?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Kama kawaida, jana kwenye kikao chetu cha kupata kamvinyo mjadala mpya ukaibuliwa. Safari hii ulihusu maswala ya kufumaniana. Ilionekana katika maswala ya mapenzi hakuna kitu kinachouma kama usaliti. Na linapokuja suala la kuufumania usaliti huo live hali inakuwa mbaya zaidi. Kwamba lipi fumanizi linaloumiza zaidi kati ya haya:

1. Kwa Wanawake: Kumfumania mmeo/mpenzi wako anamegwa na mwanaume mwenzie au anammega mwanaume mwenzie au anammega mwanamke. Lipi linauma zaidi?

2. Kwa wanaume: Kumfumania mkeo/mpenzi wako anamegwa na mwanamke mwenzie au anamegwa na mwanaume. Lipi litakupandisha presha zaidi?
 
Mkubwa nadhani hapo linalouma roho sana ni mwanaume kufumaniwa anamegwa na mwanaume mwenzake hiyo mke wako atakuacha hiyo siku.......Lakini kama ukimfumania mke wako ana megwa na mwanamke mwenzake au hata mwanaume haitauma sana unajuwa mtasameheana na yataisha.........Lakini mwanaume kumegwa hiyo ni habari nyingine mkuu!!
 
Kama kawaida, jana kwenye kikao chetu cha kupata kamvinyo mjadala mpya ukaibuliwa. Safari hii ulihusu maswala ya kufumaniana. Ilionekana katika maswala ya mapenzi hakuna kitu kinachouma kama usaliti. Na linapokuja suala la kuufumania usaliti huo live hali inakuwa mbaya zaidi. Kwamba lipi fumanizi linaloumiza zaidi kati ya haya:

1. Kwa Wanawake: Kumfumania mmeo/mpenzi wako anamegwa na mwanaume mwenzie au anammega mwanaume mwenzie au anammega mwanamke. Lipi linauma zaidi?

2. Kwa wanaume: Kumfumania mkeo/mpenzi wako anamegwa na mwanamke mwenzie au anamegwa na mwanaume. Lipi litakupandisha presha zaidi?

Ahsante kwa kukopi na kupesti thread niliyoileta awali na kujadiliwa sana humu jamvini. Si vibaya ulivoifufua upya na inapendeza ikiendelea kujadiliwa upya.
 
hakuna fumanizi lenye nafuu ..ni kwa nini umsaliti mwenzio ???????????????????????
inauma sana ...inauma
 
The world of love is complex let us get childrern and forget the rest!
 
dah!! aisee, hapa kwa mke kumkuta mme anamegwa na mwanaume itakuwa kasheshe!!mi ni mwanaume,ila nikikutwa mke wangu anamegwa na mwanaume itaniuma, ni tapandisha majini labda!pia,kama nikikuta mke wangu anamegwa na mshichana haitaniuma sana kwa sababu ni wasichana wote, kwa hiyo bado mi ndo mwanaume ila sipati picha mwanaume anamegwa na mwanaume!! dah!!
 
Mponjoli hupati picha????------------ndo maana jamaa kauliza kabisa lipi fumanizi hatari, binafsi naona la mwanaume kumegwa na mwanaume mwenzake hilo fumanizi hatari, hainipi picha mke wangu atajisikiaje, at least anikute mimi ndo namega kuliko kumegwa, atasema kumbe mume wangu lijali
 
Back
Top Bottom