Fumanizi la mama mwenye nyumba

Nilikua sjaona hili chimbo,ngoja nishuke nayo najua Apostle hunaga show mbovu[emoji23]
 
Portion ya 3 sijaiona sijui imeondolewa?[emoji22]
 
Hapo kwenye mpangaji kukaa sehemu mpaka akaanza kufuga nimecheka sana. Kuna jamaa yangu hapo mwanza kapanga mahali kafuga mbuzi kama 60 nilivyoenda kwake nilicheka sana anajiita mwenye nyumba msaidizi since wapangaji wote wamemkuta.
Ni mimi kabisa hapo nimefuga Hadid njiwa kwenye nyumba ya kupanga😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Rudi umalizie
Hivi ndugu story ya Mwahija ulishatupia humu au nimepitwa nayo? Maana kama baada ya yy ndio ukatubu kabisa kuhusu mishangazi nn kilikukuta mwamba? Briefly
 
Ni mimi kabisa hapo nimefuga Hadid njiwa kwenye nyumba ya kupanga😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Yani nilicheka kinoma nilivyoenda kunitembelea. Msela kajiachia Kama kwao Yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…