Fumanizi la mama mwenye nyumba

😅😅😅 Ndo life letu mkuu
Hapana napingana na ww maana zipo nyumba nzuri tu na wenye nyumba hawakai hapo bei sawa na hiyo anayokaa mama mwenye nyumba muda mwingine watu wanajitafutia matatizo wenyewe tu
 
Hapana napingana na ww maana zipo nyumba nzuri tu na wenye nyumba hawakai hapo bei sawa na hiyo anayokaa mama mwenye nyumba muda mwingine watu wanajitafutia matatizo wenyewe tu
Ila mkuu zipo factors nyingi sana zinazofanya mtu akae eneo fulani au nyumba fulani.
 
Lete ya mwahija
 
Apostle kisa cha Mwahija mshangazi ulishauleta?
 
Mkuu Analyse, 3rd portion ya hii story siioni. unaweza kunisaidia please.
 
Analyse nimekutumia ujumbe PM wa kikazi, tafadhali naomba uusome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…