Fumanizi la Mchungaji ...adai alikuwa anamfanyia mke wa mtu maombi

Eti unamfanyia mke wa mtu maombi kwenye lodge ? halafu mnavua nguo ?


Mimi nilichoshangaa ni mume wake kutokutoa kichapo





Kama kanisa lenyewe linaitwa pants down, hakuna cha ajabu hapo maana kila kitu kinajieleza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…