Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni ndo huyo mume, nawapa hi, napita zangu naweka mkoba wangu mahali pake. Then naendelea na mambo yangu. Simgombezi, wala simpigi, wala simchekei. Hatanipikia, najipikia msosi wangu, kitandani mzungu wa nne, nikiamka najipashia maji ya kuoga, natengeneza chai, naenda zangu ofcn, nafanya hivyo mfululizo, then kitakachotokea hebu jazeni majibu hapo .....................................
mbona wamelala na nguo? Bila shaka ni maigizo ya mzee Jangala<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36662&stc=1" attachmentid="36662" alt="" id="vbattach_36662" class="previewthumb" />
Ingekua wewe ungechukua uamuzi gani hapo?