Fumanizi

Kama ni guest manake huyo hatarudi kwangu. Kama nimewakuta kitandani kwangu wamejifunika mashuka yangu, wamelalia mito yangu na kila kitu, itabidi nivue koti nikae kwenye kiti, nimwangalie huyo aliyemkaribisha mwenzake kwa dk 5 usoni. afu naandika talaka 3 na kumkabidhi ili waondoke na huyu bwanake........... mengine yatafuatia.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Jifunze kutoa maamuzi magum mkuu, hapo unang'ata meno, unakunja sura unakunjua moyo then......WATCH OUT PART 2.
 
hawa wanaigiza tu mbona jibaba linacheka badala ya kuruka ukuta akiwa uchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…