Fumba macho dakika moja kumkumbuka Babu seya

Mkuu HISTORY ilikupita kushoto nini? VASCO DA GAMA si ndio wale ktk agents of colonialism - Explorers, Missionaries & Traders, sasa V. D. Gama alikuwa anaplay role zote, ila sifa yake kubwa ni MSAFIRI mashuhuri!

Mkuu we n mwl mzr wa historia na unajua kutumia sanaa lugha bila kumkwaza mtu,!

KumbeeeeeeeEeeee!
 
Kifungo cha maisha hakitoshi, tena kil nikisikia habari zao napata hasira, bora wafe tu, wamewaharibu watoto wadogo.
Watu kama hawa hata jela wanatengwa, bora wakatwe korodani zao nyambaf.
 
Nilitaka kutoa wazo la maana hapa lakini nimeliona li boko haramu limoja limeshavamia hii post,basi tena......
Pole sana babu seya na mwanao,hakika Mungu yupo
 
Kama Rama mla vichwa aliachiwa,kwanini ishindikane kwake?
Hakuna mwisho usiokuwa na mwisho japokuwa mwisho mpaka kufika mwisho ni mwendo sana.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kifungo cha maisha hakitoshi, tena kil nikisikia habari zao napata hasira, bora wafe tu, wamewaharibu watoto wadogo.
Watu kama hawa hata jela wanatengwa, bora wakatwe korodani zao nyambaf.

Shenz taipu,mjinga we usiye na huruma,huna akili ya ku figure out,mtu huwezi kubaka watoto wewe na wanao watatu,vasco da gama ni noma,halafu nyie wanachama wa buku 7 mliotuharibia nchi,¥@§¤ zenu wote m....bwa nyie,siwapendi natamani siku moja serikali yote ya buku 7 ipande ndege moja na kisha ipotee jumla kama ya malaysia ili wananchi tupumzike.
 
Acheni us...nge, kwa namna utaratibu wa mahakama ulivyo tena mahakama kuu inayosikiliza kesi na jaji hakuna uwezekano wa kumtia mtu hatiani bila kuwa na makosa. Mkumbuke kuwa wakili maarufu ambaye hafungamani na serikali hii Mhe. Mabere Marando aliisimamia kesi mara ya kwanza na hata baada ya kukata rufaa.
Huyu mshenzi babu seya ni firauni mkubwa na ashukuru Mungu walimpeleka Jela la sivyo wenye watoto wao waliofanyila ushenzi wangewatoa roho.
Hukumu za mahakama kuu hutumwa jumiiya ya madola na hivyo ni vigumu kutoa hukumu ndivyo sivyo!!
 

Matusi ya nini? Kesi ilikuwa mahakamani mbona ukwenda kutoa ushahidi? Babu Seya na wanawe wamebaka pamoja, na kama hilo linakushangaza basi we hujui kitu katika Ulimwengu huu. Uko na internet lakini hujui kuitumia, jaribu kugoogle kesi za kubaka zilizowahi kutokea duniani uone mambo ya ajabu yanayofanyika kila siku.
Babu Seya ni Pedofile kwa hiyo usishangae kwa kitendo chake cha kuharibu vitoto vidogo, watu kama yeye wapo wengi tu, na wakikamatwa wanafaa wamalizie maisha yao jela. Hawafai kwenye jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…