ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwenye video ya ZALI LA MENTALI by Prof. JAYKuna zawadi zinatoka za vocha kwa atakayepatia majibu ya maswali yangu.serious nakutumia zawadi PM ukipatia jibu wa kwanza.zawadi natoa Leo na kesho kwa hiyo usicheze mbali na ukurasa wangu wa jamiiforum
Swali linataka uniambie huyu dada umewahi kumuona wapi?View attachment 1076262View attachment 1076263View attachment 1076264View attachment 1076265View attachment 1076266
WINKwenye video ya ZALI LA MENTALI by Prof. JAY