ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Malizia jina la hio ngoma afu uje inboxPauline zongo
Kosa hiyo Ni ngoma ya mwanafa inaitwa unanitega..yupo na noorahCrazy GK na Pauline Zongo
Sister sister...
Hiyo ya pili sijui
yan ww nikiona tu jina lako nasikia harufu mbaya sanaCrazy GK na Pauline Zongo
Sister sister...
Hiyo ya pili sijui
Nilitaka kusema "maji yakishamwagika hayazoleki"Crazy GK na Pauline Zongo
Sister sister...
Hiyo ya pili sijui
Nilimuona Paulina Zongo amechoka sijui ana shida gani
Kuna siku alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha dakika kumi za maangamizi planet bongo aliingia studio za eatv akiwa na dogodogo Serengeti boy mpenz wakeMaishaa Mkuu .... Maana Kipind Kile Hakua na Majukum kama Sasa
Naomba nyimbo zake kama unazo plsPauline zongo
Noma SaanaKuna siku alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha dakika kumi za maangamizi planet bongo aliingia studio za eatv akiwa na dogodogo Serengeti boy mpenz wake
Sawa ila nadhani kuna kitu kingine nyumaMaishaa Mkuu .... Maana Kipind Kile Hakua na Majukum kama Sasa
Sawa ila nadhani kuna kitu kingine nyuma